4 Septemba
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 4 Septemba ni siku ya 247 ya mwaka (ya 248 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 118.
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1824 - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1862 - Carl Velten, mkusanyaji wa hadithi za Kiswahili)
- 1906 - Max Delbruck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1913 - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1962 - Shinya Yamanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012
- 1981 - Beyoncé, mwimbaji kutoka Marekani
Waliofariki
- 422 - Mtakatifu Papa Boniface I
- 1907 - Edvard Grieg, mtunzi wa muziki kutoka Norwei
- 1916 - José Echegaray y Eizaguirre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1904
- 1965 - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952
- 2014 - Joan Rivers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Musa, Marselo wa Chalon, Papa Bonifasi I, Kaletriki, Ida wa Herzfeld, Frezali, Irmingarda wa Koln, Rozalia n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads