Papa Urban V

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Urban V
Remove ads

Papa Urban V, O.S.B. (takriban 131019 Desemba 1370) alikuwa Papa kuanzia tarehe 28 Septemba/6 Novemba 1362 hadi kifo chake[1]. Alitokea Grizac, Ufaransa[2].

Thumb
Mwenye heri Papa Urban V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guillaume Grimoard.

Alimfuata Papa Innocent VI akafuatwa na Papa Gregori XI. Alikuwa wa sita kati ya Mapapa walioishi Avignon, na alirudi Roma kwa muda hadi aliposhindwa na mazingira.

Alisifiwa kwa elimu na utakatifu wake.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 10 Machi 1870.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads