Abaskhiron
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Abaskhiron (Qallin, Misri, karne ya 3 - Asyut, Misri, karne ya 3) alikuwa askari Mkristo aliyefia imani yake ya dini.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads