Absadi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Abba Absadi (alifariki 1381) alikuwa mmonaki, mfuasi wa Ewostatewos na mwalimu wa Abba Filipos.
Alianzisha monasteri ya Debre Mariam mwaka 1374 katika Eritrea ya leo.
Hatimaye, askari walimkamata, wakamtesa na hatimaye wakamuua na kumkata kichwa.[1]
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia na Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Septemba.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Chanzo
Marejeo mengine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads