Adana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Adana (kwa Kigiriki: Άδανα) ni mji wa Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Adana.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 1,130,710 waishio huko,[2] na kuufanya kuwa mmoja kati ya miji mitano mikubwa katika nchi ya Uturuki (baada ya Istanbul, Ankara, İzmir na Bursa). Mwaka wa 2006 mji wa Adana umekadiriwa kufikia iadadi ya wakazi wapatao 1,271,894.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads