Adariki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Adariki, O.S.B. (kwa Kijerumani: Adalrich; kwa Kifaransa: Alaric; alifariki katika kisiwa cha Ufenau, katika Uswisi wa leo, 29 Septemba 973 hivi) alikuwa padri aliyeishi mara monasterini huko Einsiedeln, mara upwekeni [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads