Ofisa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ofisa (pia: afisa, kutoka Kiingereza: officer) ni mtu mwenye cheo katika ofisi au katika mfumo wa shirika fulani. Neno latumiwa hasa kwa wanajeshi wa vyeo vyenye mamlaka juu ya wanajeshi wa kawaida.
Katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania vyeo vya maofisa vimepokewa kutoka jeshi la kikoloni vikifuata mfumo wa jeshi la Uingereza.
Maofisa hutofautishwa baina ya wenye kamisheni (ambavyo ni vyeo vya juu zaidi) na maafisa wa ngazi za chini.
Remove ads
(Cheo cha Kitanzania - (Cheo cha Kiingereza)
Vyeo vya chini
![]() | ![]() | ![]() | ![]() | ![]() | ![]() | ||||||||||||||||
Afisa Mteule Daraja la Kwanza (Warrant Officer Class 1) | Afisa Mteule Daraja la Pili (Warrant Officer Class 2) | Sajinitaji (Staff Sergeant) | Sajini Sergeant) | Koplo (Corporal) | Koplo Usu (Lance Corporal) |
Maofisa wenye kamisheni
(Cheo cha Kitanzania - (Cheo cha Kiingereza)
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() | |||||||||||||||||||||||
Jenerali (General) |
Luteni Jenerali (Lieutenant General) |
Meja Jenerali (Major General) |
Brigedia Jenerali (Brigadier General) |
Kanali (Colonel) |
Luteni Kanali (Lieutenant Colonel) |
Meja (Major) |
Kapteni (Captain) |
Luteni (Lieutenant) |
Luteni usu (Second lieutenant) |
Ofisa Mwanafunzi Officer cadate) |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads