Aggrey Deaisile Joshua Mwanri

Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Aggrey Deaisile Joshua Mwanri, (alizaliwa 17 Julai 1955) aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, na aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Siha katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.[1] Anatokea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads