Agileus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agileus (alifariki Karthago, leo nchini Tunisia, 300 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.
Augustino wa Hippo alitoa hotuba moja juu yake [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Januari[2][3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads