Agilolfo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agilolfo (alifariki Cologne, 750 hivi) alikuwa Askofu wa Cologne, maarufu kwa maadili na kwa mahubiri[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, pengine hata mfiadini[2] .
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads