Ahabu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ahabu Ng'umbi(kwa Kiebrania: אַחְאָב, Aẖ'av, ʼAḥʼāḇ), mwana wa Omri, alikuwa mfalme wa saba katika ufalme wa Israeli. William F. Albright alikadiria utawala wake kuwa miaka 869–850 KK, E. R. Thiele miaka 874–853 KK[1] na Michael D. Coogan miaka 871–852 KK.[2].

Vitabu vya Wafalme vinamchora kama mwovu sana, kwa kufuata mke wake Yezebeli, kumuua Naboti na kuelekeza taifa la Israeli kuabudu miungu mingi, hasa Baali.
Lakini Nabii Elia kwa karama yake ya kutokea na kutoweka hakuweza kuuawa kama manabii wenzake wengi, akafaulu kuokoa imani katika Mungu pekee, YHWH.
Remove ads
Tanbihi
Marejeoni
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads