Airaldo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Airaldo, O.Cart. (alifariki Saint-Jean-de-Maurienne, Savoy, leo nchini Ufaransa, 2 Januari 1146) alikuwa mmonaki askofu[1].

Alipokuwa mkaapweke huko Portes-en-Bugey, na vilevile alipokuwa askofu wa Maurienne, aliunganisha busara ya mchungaji na ugumu wa maisha wa Mkartusi[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Januari[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads