Argentina

From Wikipedia, the free encyclopedia

Argentina
Remove ads

Argentina, rasmi Jamhuri ya Argentina, ni nchi iliyoko Amerika Kusini. Ni jamhuri ya shirikisho inayojumuisha majimbo 23 na jiji la kujitegemea la Buenos Aires, ambalo ndilo mji mkuu wake.Argentina inapakana na Chile upande wa magharibi, Bolivia na Paraguay upande wa kaskazini, Brazil upande wa kaskazini-mashariki, Uruguay na Bahari ya Kusini ya Atlantiki upande wa mashariki.Ina na idadi ya watu takriban milioni 45, inashika nafasi ya 32 kwa kuwa na idadi kubwa ya watu duniani. Jiji kubwa zaidi Buenos Aires ni mojawapo ya vituo muhimu vya kitamaduni na kiuchumi katika Amerika Kusini.

Ukweli wa haraka


Thumb
Ramani ya Argentina
Thumb
Salta

Kuna madai dhidi ya Uingereza juu ya visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika.

Remove ads

Watu

Thumb
Papa Fransisko, Papa wa kwanza kutoka Amerika, alitokea Argentina.

Wakazi wengi (97%) wana asili ya Ulaya na Mashariki ya Kati, hasa Italia (55%) na Hispania.

Lugha yao ya kawaida ni Kihispania na dini rasmi ni Ukristo wa Kanisa Katoliki (76.5%). Asilimia 9 ni Waprotestanti.

Miji

Miji mikubwa zaidi ni:

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads