Paraguay

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paraguay
Remove ads

Paraguay (pia: Paragwai) ni nchi ya Amerika Kusini isiyo na pwani baharini. Imepakana na Argentina, Brazil na Bolivia. Jina la 'Paraguay' limetokana na lugha ya Kiguarani na linamaanisha 'kutoka mto mkubwa'. Mto huu mkubwa ni Parana.Mji mkuu ni Asuncion ulioundwa mwaka 1537 na Mhispania Juan de Salazar.

Ukweli wa haraka


Thumb
Ramani ya Paraguay
Thumb
Nyumba mjini Asuncion
Remove ads

Historia

Paraguay ilikuwa koloni la Hispania, ikapata uhuru wake mwaka 1811.

Watu

Wakazi wengi (95%) ni machotara waliotokana na Waindio na Wazungu.

Lugha rasmi na za kawaida ni kwa pamoja Kiguarani (95%) na Kihispania (90%).

Upande wa dini, asilimia 89.9 ni Wakatoliki na 6.2% Waprotestanti.

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
Taarifa za jumla
Vyombo vya habari
Biashara
Utalii
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Paraguay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads