Diskografia ya Christina Milian

From Wikipedia, the free encyclopedia

Diskografia ya Christina Milian
Remove ads

Diskografia ya Christina Milian ni orodha ya nyimbo na albamu za mwimbaji na mtunzi - mwigizaji kutoka nchini Marekani, almaarufu kama Christina Milian. Orodha hii imekusanya albamu zake tatu, zikiwa sambamba kabisa na single zake saba pamoja na nyimbo mchanganyiko za mwanadada huyu.

Thumb
Christina Milian

Albamu zake

Albamu za studio

Maelezo zaidi Mwaka, Albamu ...

Kompilesheni zake

Maelezo zaidi Mwaka, Albamu ...
Remove ads

Single zake

Maelezo zaidi Mwaka, Jina la single ...
Remove ads

Video zake

Maelezo zaidi Mwaka, Wimbo ...

Kazi zingine

Albamu alizopata kuonekana

  • 2000: "Between Me & You" ya Ja Rule- Rule 3:36
  • 2001: "Call Me, Beep Me (The Kim Possible Theme Song)" (akiwa na Christy Carlson Romano; kutoka katika Kibwagizo cha Kim Possible)
  • 2001: "Play" (alipiga sauti ya nyumba akiwa na Jennifer Lopez; kutoka katika J. Lo)
  • 2002: "I Hear Santa On The Radio" (kutoka katika albamu ya kwanza ya Hilary Duff ya Christmas na albamu moja ya "Santa Claus Lane")

Vibwagizo alivyopata kuonekana

  • 2001: Rush Hour ("You Make Me Laugh")
  • 2005: Be Cool ("Ain't No Reason", "Believer")
  • 2005: In the Mix ("Be What It's Gonna Be")

Mwonekano wake katika Tepu mchanganyiko

  • "Peep Show"
  • "7 Days (Remix)" (akimshirikisha na Vic Damone)
  • "L.O.V.E. (Japanese Remix)" (akimshirikisha na Joe Budden)
  • "Into The Sunset"
  • "Suga' Cane"
  • "Lose Your Love" (akimshirikisha na Twista)
  • "Much More" (akiwa na Nick Cannon)
  • "Who's Gonna Ride?" (akimshirikisha na Lil' Wayne na Three 6 Mafia)
  • "Say I" (akimshirikisha na Juelz Santana na Young Jeezy)
  • "Someday One Day" (Remix) (akimshirikisha na Lil Fizz na J-Boog na Raz-B)
  • "Look Around" (akimshirikisha na Bratz na M-Flo)

Nyimbo alizopata ushirika wa kuzitunga

  • "Same Ol' Same Ol" (PYT)[2]
  • "Play" (Jennifer Lopez)[2]
  • "Walk Away" (Paula DeAnda)[3]
  • "Call Me, Beep Me (The Kim Possible Theme Song)" (kibwagizo cha Kim Possible)
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads