Alberto wa Yerusalemu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Alberto wa Yerusalemu (alizaliwa Castel Gualtieri, Italia, karne ya 12 - alifariki Akka, Israeli, 14 Septemba 1214) alikuwa kwanza kanoni, halafu askofu wa Bobbio, halafu wa Vercelli nchini Italia, halafu tena wa Yerusalemu katika Nchi Takatifu[1].

Ndiye aliyewapa kanuni watawa Wakarmeli.
Wakati wa kuadhimisha Sikukuu ya msalaba aliuawa kwa upanga na mtawa mwovu aliyekuwa amemlaumu na kumshusha cheo.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads