Albinus wa Angers

From Wikipedia, the free encyclopedia

Albinus wa Angers
Remove ads

Albinus wa Angers (kwa Kifaransa: Aubin; Vannes, leo nchini Ufaransa, 496 hivi - Angers, 1 Machi 550) alikuwa kwanza mmonaki, halafu abati kwa miaka 25 na hatimaye askofu wa mji huo kuanzia mwaka 529[1], akijitahidi kurekebisha Kanisa kufuatana na mtaguso wa tatu wa Orleans na kutetea fukara na wafungwa hata kwa kukemea vikali fahari ya matajiri[2].

Thumb
Mt. Albinus akishiriki Mtaguso wa tatu wa Orleans.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Machi[4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads