Alcelaphinae
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Alcelaphinae ni nusufamilia ndogo katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na kongoni. Nusufamilia hii ina jenasi nne ndani yake: Alcelaphus (Kongoni) ,Beatragus (Hirola), Connochaetes (Nyumbu), Damaliscus (Nyamera na Sasabi)[1]
Remove ads
Jenasi za kabla ya historia

- †Megalotragus
- †Damalacra
- †Parmularius
- †Rabaticeras
- †Damalops
- †Rhynotragus
- †Oreonagor
- †Parestigorgon
- †Rusingoryx
Picha
- Kongoni mwekundu
- Hirola
- Nyumbu buluu
- Nyamera
- Sasabi
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads