Aleksanda Sauli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aleksanda Sauli, B. (Milano, Lombardia, 15 Februari 1534 - Calosso, Piemonte, 11 Oktoba 1592) alikuwa askofu kwanza wa Aleria, halafu wa Pavia na mtawa wa shirika la Makleri wa Mt. Paulo, maarufu kama Wabarnaba, nchini Italia[1].

Aliinua fukara kwa upendo wa ajabu akaacha maandishi mbalimbali.
Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri tarehe 23 Aprili 1741, tena mtakatifu na Papa Pius X tarehe 11 Desemba 1904.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads