Alice Lakwena
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
[1]Alice Lakwena (pia: Alice Auma; 1956 - 17 Januari 2007) alikuwa kiongozi wa kiroho kati ya Waacholi wa Uganda aliyeanzisha kundi la "Harakati ya Roho Mtakatifu" (Holy Spirit Movement) na kuendesha vita vya msituni dhidi ya serikali ya rais Yoweri Museveni kuanzia Agosti 1986 hadi Novemba 1987.


Maisha
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads