Waacholi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Waacholi
Remove ads

Waacholi (pia Waacoli) ni kabila la Kijaluo la Sudan Kusini na hasa Uganda Kaskazini (Acholiland, iliyogawanyika katika wilaya ya Agago, wilaya ya Amuru, wilaya ya Gulu, wilaya ya Kitgum, wilaya ya Lamwo, wilaya ya Nwoya,wilaya ya Omoro na wilaya ya Pader).

Thumb
Acholiland, Uganda.

Lugha yao ni lahaja ya Kiluo.

Kama Wajaluo wote ni kabila la Waniloti ambalo lilisafiri kutoka Afrika ya Kaskazini kufuata mto Nile kwenda Kusini.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads