Anastasi wa Schemaris

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Anastasi wa Schemaris (alifariki Schemaris, Lazica, leo nchini Georgia, mwaka 666) alikuwa mmonaki mfuasi wa Maksimo Muungamadini na mshiriki wa mateso yake kwa ajili ya imani sahihi[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 22 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads