Andrea Bobola
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Andrea Bobola, S.J. (Sandomir Palatine, Polandi, 1591 – Janów, leo nchini Belarus, 16 Mei 1657) alikuwa padri mmisionari na hatimaye mfiadini wa Shirika la Yesu, anayejulikana kama "mtume wa Lithuania" na "mwindaji wa roho" kwa sababu alijitosa kurudisha umoja kamili kati ya Wakristo.[1][2]

Hatimaye alikamatwa na askari, akateswa na kuuawa katika uasi wa Khmelnytsky[3][4].
Alitangazwa kuwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 30 Oktoba 1853, halafu mtakatifu na Papa Pius XI tarehe 17 Aprili 1938.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
