Anna Line

From Wikipedia, the free encyclopedia

Anna Line
Remove ads

Anna Line (1563 hivi 27 Februari 1601) alikuwa mwanamke Mwingereza aliyebadilisha imani yake ya dini kutoka Ushirika wa Anglikana kuingia Kanisa Katoliki.

Thumb
Mt. Anna Line.

Kwa vile aliwaficha mapadri nyumbani mwake na kuhudhuria Misa zao, alipelekwa mahakamani na kuuawa kwa kunyongwa[1].

Mwaka 1929 alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenyeheri na mwaka 1970 alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Februari[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads