Ansuero na wenzake

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Ansuero na wenzake 28 (walifariki Ratzeburg, Ujerumani, 15 Julai 1066) ni wamonaki Wabenedikto waliofia dini yao kwa kupigwa mawe na Wavendi waliokataa kuhubiriwa Injili[1].

Ansuero alikuwa abati wao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads