Antioko wa Sulcis
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Antioko wa Sulcis (Mauretania au Kapadokia, 95 hivi - Sulcis, Sardinia, leo nchini Italia, 127 hivi) alikuwa Mkristo aliyepelekwa uhamishoni kwenye migodi ya kisiwa cha Sardinia na hatimaye kuuawa kutokana na imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yao ni tarehe 13 Desemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads