Antonio Maria Pucci
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Antonio Maria Pucci, O.S.M. (Poggiole di Vernio, Toscana, 16 Aprili 1810 – Viareggio, Italia, 12 Januari 1892), alikuwa padri mtawa wa Kanisa Katoliki aliyefanya uchungaji kama paroko sehemu ileile kwa miaka 48, akiwajibika sana katika malezi, katekesi na huduma kwa wahitaji [1].

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Juni 1952, halafu Papa Yohane XXIII alimtangaza mtakatifu tarehe 9 Desemba 1962.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
