Apiano wa Comacchio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Appiano wa Comacchio (aliishi karne ya 9 hivi) alikuwa mmonaki huko Pavia, Italia, aliyepelekwa na abati wake kuishi kama mkaapweke huko Comacchio ili kuhakikisha chumvi kwa ajili ya monasteri.
Akiwa huko alifanya pia utume kwa wananchi[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads