Apolo (mitholojia)

mungu katika hadithi za Kigiriki na Kirumi From Wikipedia, the free encyclopedia

Apolo (mitholojia)
Remove ads

Apolo (kwa Kiatika, Kiionia, na Kihomeri: Ἀπόλλων, Apollōn (jen.: Ἀπόλλωνος); kwa Kidoriki: Ἀπέλλων, Apellōn; kwa Kiarkadokupro: Ἀπείλων, Apeilōn; kwa Kieolia: Ἄπλουν, Aploun; kwa Kilatini: Apollō) ni jina la mungu wa nuru, jua, ukweli, uponyaji, ugonjwa, upigaji wa mishale, muziki na ushairi katika mitholojia ya Kigiriki na Kirumi.

Ukweli wa haraka Makao, Alama ...

Yeye aliaminiwa kuwa mwana wa Zeu na Leto na ndugu pacha wa Artemi.

Kwa asili alikuwa Mungu wa Wagiriki lakini ibada yake ilisambaa mapema katika Roma ya Kale pia. Wakati mwingine aliabudiwa kwa jina la Kilatini Phoebus.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads