Apro wa Vienne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Apro wa Vienne (kwa Kifaransa: Aprus, Aper, Apre, Aupre, Avre, Epvre, Evre; karne ya 6 - Vienne, leo nchini Ufaransa, 650 hivi) alikuwa padri ambaye, kisha kufanya uchungaji na kuwa paroko [1], alihama jimbo la Grenoble kwenda kuishi upwekeni na kufanya toba katika chumba kidogo alichojijengea [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Papa Pius X alithibitisha heshima hiyo tarehe 9 Desemba 1903 [3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads