Asafo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Asafo
Remove ads

Asafo (pia: Asaf, Asaph, Asa; alifariki Llanelwy, Welisi, 596 hivi[1]) kuanzia mwaka 573 alikuwa askofu-abati wa jimbo ambalo baadaye lilipewa jina lake [2].

Thumb
Dirisha la vioo vya rangi likimuonyesha Mt. Asafo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 1 Mei[3][4] lakini pia 5 Mei[5] na awali 11 Mei.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads