Ashabito

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Ashabito ni kata ya kaunti ya Mandera, eneo bunge la Mandera Kaskazini, kaskazini mashariki mwa Kenya[1].

Ashabito inaundwa na Ashabito Town na Quramathow Location. Wakazi asili wa Ashabito ni wa kabila la Wasomali.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads