Athanasi wa Mlima Athos

From Wikipedia, the free encyclopedia

Athanasi wa Mlima Athos
Remove ads

Athanasi wa Mlima Athos (Trabzon, leo nchini Uturuki, 920 hivi - Mlima Athos, Ugiriki, 1003 hivi) alikuwa Mkristo mpole na mnyenyekevu, baada ya kuwa mwalimu, akawa mmonaki ambaye alianzisha monasteri maarufu katika rasi ya Mlima Athos[1], ambayo ikawa muhimu kuliko zote za Kanisa la Kiorthodoksi hata leo [2].

Thumb
Picha takatifu ya Mt. Athanasi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 5 Julai[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads