Audomari
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Audomari (pia: Omer; Coutances, Neustria, leo nchini Ufaransa, 600 hivi[1] - Therouanne, leo nchini Ufaransa, 670 hivi) alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Eustasi wa Luxeuil[2], halafu askofu wa Kanisa Katoliki huko Therouanne kuanzia mwaka 637 hivi[3], akijitahidi kurudisha Wakristo kutoka Upagani mamboleo akisaidiwa na Momelini, Ebertramu na Bertino wa Sithieu. [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads