1 Novemba

tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tarehe 1 Novemba ni siku ya 305 ya mwaka (ya 306 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 60.

Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Watakatifu wote, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Sesari wa Terracina, Beninyo wa Dijon, Austremoni, Marselo wa Paris, Romulo wa Bourges, Severini wa Tivoli, Magnus wa Milano, Vigori, Lisini wa Angers, Maturini, Audomari, Jeromu Hermosilla, Valentino Berriochoa, Petro Almato n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 1 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads