Augustino Caloca
Shahidi wa Mexico From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Augustino Caloca (jina kamili kwa Kihispania Agustín Caloca Cortés; Zacatecas, Mexico, 5 Mei 1898 - Colotlan, Mexico, 25 Mei 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero[1]. Hivyo alishuhudia uaminifu wake kwa Kristo na kwa Kanisa lake.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
