Bariadi (mji)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bariadi ni mji katika Mkoa wa Simiyu ulio makao makuu ya mkoa. Ilipata halmashauri yake ya pekee kuanzia mwaka 2012[1] ilipotengwa na Wilaya ya Bariadi.
Misimbo ya posta huanza kwa namba 391[2].
Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, eneo la mji ulikuwa na wakazi 167,508 walioishi katika kata 10[3]. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 260,927 [4].
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads