Bashinuna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bashinuna (alifariki 19 Mei 1164) alikuwa mmonaki wa Skete, Misri ambaye alifia Ukristo kwa kuchomwa moto katika dhuluma ya Waislamu chini ya khalifa Al-Adid.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads