Benki ya Equity

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Benki ya Equity Tanzania Limited ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo ni ya pili kiuchumi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Imesajiliwa na Benki ya Tanzania, Benki kuu na mdhibiti wa kitaifa wa benki nchini.[1][2]

Benki hiyo ni mwanachama wa Equity Group Holdings Limited, moja kati ya taasisi za biashara kubwa zaidi, iliyo na makao makuu yake Nairobi, Kenya, ikiwa na matawi Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji, na Zambia.[3]

Hadi septemba 2014, Benki ya Equity Tanzania Limited imemiliki mali yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 143.42, na dola za kimarekani milioni 107.68 katika amana ya wateja na kitabu cha mkopo dola za kimarekani milioni 87.1. BBT ni mtoaji mkubwa wa huduma za kibiashara Tanzania, kutumikia mashirika makubwa, biashara ndogo hadi za kati, na watu binafsi. Kuanzia Machi 2013 mali yake yote ilikuwa na thamani ya karibia $ 382,000,000 (TZS: bilioni 634.34). [4] Kuanzia Disemba 2013, benki hii ilikuwa na wateja 87,000.[5]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads