Benvenuto Scotivoli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Benvenuto Scotivoli (Ancona, Marche, Italia, 1188 hivi - Osimo, Marche, 22 Machi 1282) alikuwa askofu wa Osimo katika karne ya 13.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Martin IV.
Maisha
Benvenuto alizaliwa Ancona, Dola la Papa, leo Italia ya Kati, akasomea sheria kwenye chuo kikuu huko Bologna, akiwa na Silvesta Guzzolini, ambaye pia ni mtakatifu.
Alipata kuwa shemasi mkuu wa Ancona kabla hajachaguliwa kuwa askofu.[2]
Alijitahidi kupatanisha wananchi waishi kwa amani.
Haieleweki kama alijiunga na shirika la Ndugu Wadogo, lakini aliamua kufa akiwa amelala ardhini akaomba kuzikwa amevikwa kanzu ya Wafransisko [3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads