Papa Martin IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Martin IV (takriban 1210 – 29 Machi 1285) alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Februari/23 Machi 1281 hadi kifo chake[1]. Alitokea Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Simon de Brie (au Brion au Mainpincien).
Alimfuata Papa Nikolasi III akafuatwa na Papa Honori IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads