Bertuini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bertuini (kwa Kifaransa: Bertuin, Berthuin; alifariki 698) alikuwa mmonaki wa Uingereza halafu askofu na hatimaye mmisionari katika Ubelgiji wa leo alipoanzisha monasteri ya Malonne [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Novemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads