Better Dayz

From Wikipedia, the free encyclopedia

Better Dayz
Remove ads

Better Dayz ni jina la kutaja albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha hayati Tupac Shakur, na ya mwisho mpaka sasa kuwa albamu mbili pamoja.

Ukweli wa haraka Studio album ya 2Pac, Imetolewa ...

Albamu ilitolewa mnamo mwezi wa Novemba 2002, na kushika nafasi ya 5 kwenye chati za Billboard 200. Albamu inakusanya pamoja maujanja na manyimbo remixi kadhaa yasiyotolewa kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati anaingia mkataba na Death Row Records, na -litayarishwa na Johnny "J", Jazze Pha, Frank Nitty, na E.D.I. wa Outlawz. Vibao vikali vinajumlishwa na "My Block (remix)," "When We Ride on Our Enemies," "Catchin' Feelins" na "Never Call U Bitch Again". Pia ni pamoja na "Military Minds" ambayo ameshirikisha wanachama wa Boot Camp Clik - Buckshot na Smif-n-Wessun (ameingia kama Cocoa Brovaz) ambayo ilitakiwa iwe ushirikiano wa kialbamu baina ya Shakur na BCC lioitwa One Nation lakini haikutolewa rasmi kwa kufuatia kifo cha Shakur. Inashirikisha rekodi zisizotolewa 23 ikiwa pamoja na maremixi kadhaa ya kuanzia kipindi cha 1995-1996 pamoja na ingizo fulani la Shakur kwa ajili ya albamu kabla kupigwa risasi kinyama - ikiwa pamoja na kuonekana kwake Nas, Outlawz, Mýa, Jazze Pha, Ron Isley, na Tyrese, na wengine wengi. Single bab-kubwa, "Thugz Mansion," imekuja katika matoleo mawili: toleo la akustika la Nas, ambayo muziki wake wa video umetokana na toleo la hip-hop akimshirikisha Anthony Hamilton. Mnamo tar. 31 Januari 2003, ilitunukiwa 2x Platinum nchini Marekani.[1]

Remove ads

Orodha ya nyimbo

Diski 1

Maelezo zaidi #, Jina ...

Disc 2

Maelezo zaidi #, Title ...
Remove ads

Matayarisho

Nafasi za chati za albamu

Mwaka Albamu Chati
Billboard 200 Top R&B/Hip-Hop Albums Canadian Albums Chart
2002 Better Dayz #5 #1 #7

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads