Bililde

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bililde
Remove ads

Bililde (pia: Bilhild, Bilihilt, Bilihildis, Bilehild; karne ya 7 - 734 hivi) alikuwa bikira anayekumbukwa kama abesi wa monasteri aliyoianzisha karibu na Mainz, leo nchini Ujerumani, ambapo alifariki dunia Kikristo kweli [1].

Thumb
Mt. Bililde.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Novemba[2][3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads