Boise, Idaho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Boise ndiyo mji mkuu katika jimbo la Idaho. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 590,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 824 kutoka juu ya usawa wa bahari.


![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Boise, Idaho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads