Helena, Montana

From Wikipedia, the free encyclopedia

Helena, Montana
Remove ads

Helena ni mji mkuu wa jimbo la Montana nchini Marekani.

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
Jumba la bunge la kijimbo mjini Helena
Thumb
Helena, Montana

Idadi ya wakazi ni mnamo 25,780 (sensa 2000) na pamoja na maeneo jirani ni watu 67,636.

Remove ads

Historia

Helena ilikuwa na majina mbalimbali katika historia yake. Mji uliundwa mwaka 1864 baada ya kugunduliwa kwa dhahabu mtoni. Jina la kwanza la mji ulikuwa "Crabtown" kufuatana na John Crab aliyekuwa kati ya waanzilishaji wake. Baadaye jina likabadilishwa kuwa Pumpkinville halafu Squashtown.

Mwishowe jina jipya likatafutwa wakafuata pendekezo la "Saint Helena" wakaifupisha kuwa Helena.

Maelezo zaidi Majimbo na maeneo ya Marekani, Majimbo ya Marekani ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Helena, Montana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads