Pierre, South Dakota

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pierre, South Dakota
Remove ads

Pierre ndiyo mji mkuu katika jimbo la South Dakota. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 14,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 442 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Thumb
Sehemu ya mji wa Pierre, South Dakota
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
Mahali pa Pierre katika South Dakota


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pierre, South Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads