Springfield, Illinois
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Springfield ni jina la mji mkuu wa jimbo la Illinois nchini Marekani. Mji upo karibu kabisa na jimbo lake. Katika sensa iliofanyaika mnamo mwaka wa 2000, mji huu wa Springfield ulikuwa na takriban watu 110,000 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 182 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Viungo vya Nje
- City of Springfield Ilihifadhiwa 21 Novemba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Illinois General Assembly
- Lincoln Library, the Public Library of Springfield, Illinois
- The State Journal-Register
Springfield (Illinois) travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Springfield, Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads