Bond Bin Suleiman

Muigizaji na mwongozaji filamu wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Abdallah Suleiman Bin Sinnan (maarufu kama Bond Bin Suleiman; alizaliwa Bugando, Mwanza, 8 Februari 1982) ni mwongozaji, mtunzi wa filamu, mtangazaji, mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Bond vilevile husimama kama mchambuzi wa masuala ya filamu za Tanzania.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Jina lingine ...

Baadhi ya filamu alichocheza ni pamoja na Lost Souls (2010), Glamour (2011). Bond alianza kujihusisha na kazi za sanaa mwaka 1999. Awali alikuwa mwimbaji kabla ya kujihusisha na uigizaji. Mambo ya usanii ni juhudi zake binafsi tu kwa kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitandao.[1]

Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads