Bubalus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bubalus ni jenasi katika nusufamilia Bovinae. Spishi zake zinafanana na nyati-maji. Jenasi hii ina spishi sita ndani yake:
- B. arnee (Nyati-maji wa mwitu)
- B. bubalis (Nyati-maji)
- B. depressicornis (Anoa)
- B. mephistopheles (Nyati-maji pembe-fupi)
- B. mindorensis (Tamarau)
- B. quarlesi (Anoa-milima)
Remove ads
Picha
- Kundi la nyati-maji wa mwitu
- Nyati-maji wa kike na ndama
- Anoa
- Anoa-milima
- Tamarau
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads